Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi
kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye
nyumba bila kupita kwenye mita.
Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.
Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.
Tazama Video Hapa Chini
No comments:
Post a Comment