Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam jana Desemba 26, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam jana Desemba 26, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza Rais wa
Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein baada ya
mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam jana Desemba 26, 2015
No comments:
Post a Comment