Picha za magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 - LEKULE

Breaking

29 Dec 2015

Picha za magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam.
.
.Gari la staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel 
.
.AY akiwa kwenye mkoko wake mpya picha hii imepigwa na Bongo5.com
.
.Pichani sio Idris  Sultan bali ni ndugu yake na hili ndio gari la Idris BMW
.
.Gari hili ni aina ya Harrier Lexus ni la staa Madee
.
.Gari la staa wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz
.
.Gari la mchekeshaji, Masanja Mkandamizaji
.
.Gari la msanii wa Bongo Fleva, Peter Msechu
.
.Gari la msanii wa Bongo Fleva, Quick Rocka ‘Mercedes -Benz’
.
.Gari la staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu
.
.Gari hili ambalo aina ya Harrier Lexus ni la msanii Shetta
DIAMOND PLATTTTTT
.Gari la staa Diamond Platnumz

No comments: