Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita.
.Rapper Joh Makini
.Mchekeshaji Joti
.Kulia ni Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa kwenye udogo wake
.Quick Rocka
.Msanii wa Hip Hop Roma Mkatolikikwenye udogo wake
.Shilole enzi hizo akiwa Tabora
.Vanessa Mdee kwenye udogo wake


No comments:
Post a Comment