PAMBANO ZURI LA MIELEKA WANAWAKE(WWE DIVAS) AMBALO NIMELICHAGUA KUWA LA KUFUNGIA MWAKA HILI HAPA - LEKULE BLOG

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 29 December 2015

PAMBANO ZURI LA MIELEKA WANAWAKE(WWE DIVAS) AMBALO NIMELICHAGUA KUWA LA KUFUNGIA MWAKA HILI HAPA

NI PAMBANO LILIPIGA TAREHE TAREHE 10/03/2015 NIKIWAHUSISHA DIVAS WAWILI YAANI NIKKI BELLA NA NAOMI JIMMY USO

NIKKI BELLA:

Ni mke wa muda mrefu wa mieleka duniani hapa JOHN CENA


Pia ni dada yake na Divas BRIE BELLA ambao wanaunda kundi la BELLA TWINS

Ambae ni shemeji yake Wrestlemania Daniel Bryant ambae amemuoa Brie Bella
na tusimsahau kaka yao anayeitwa JJ GRYANT.NAOMI AU TRINITY:

Ni mke wa mwanamieleka anayeunda kundi la ndugu wawili USO FAMILY yaani JIMMY USO
PAMBANO LENYEWE HILI HAPA LITAZAME

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages