Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akizungumza na uongozi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji
wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, alipofanya ziara katika ofisi zao leo jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanayakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa
magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo,wakifuatilia mazungumzo ya Naibu Waziri
wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika
ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa Mkuu wa Press
wa TSN Bw.Patrick Eusebio (aliyekaa)alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya
Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti
Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni mkurugenzi wa Idara ya Habari –
MAELEZO Bw. Assah Mwambene na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mmoja wa
wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) alipofanya ziara ya kikazi katika
ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo,
Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya
Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel
Nderumaki(katikati).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews
na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel
Nderumaki.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura akiwa katika ziara ya kiakzi katika ofisi za Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN)
wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es
Salaam.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki na kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James
Wambura (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa TSN wachapishaji wa
magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo,alipofanya ziara ya kikazi ofini hapo leo
jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija,WHVUM
No comments:
Post a Comment