Mkurugenzi
wa kituo cha mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani
Mwanga,Isack Msuya akimuongoza Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation
iliyoanzishwa na mfanyabiashara Mohamed Dewji,Francesca Tettamanzi
kutembelea eneo kilipojengwa kituo hicho.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akiwa ameambata
na wafanyakazo wa kampuni ya METL walipotembelea kituo cha mafunzo cha
Furahini cha wilayani Mwanga.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akitembelea
majengo hayo yaliyojengwa kwa msaada wa Modewji Foundation.
Majengo
ya Madarasa katika kituo cha elimu cha Furahini cha wilayani Mwanga
yaliyojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Mohamed Enterprises .
Afisa
Udhibiti wa Ubora wa elimu ya msingi wilaya ya Mwanga ,Richard Joachim
akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha mafunzo cha vijana cha
Furahini klichopo Kisangara wilayani Mwanga.
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika kituo hicho.
Mwanafunzi
Maureen Festo akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ,Meneja uendeshaji wa
Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi (hayupo pichani).
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifuatilia
risala iliyokuwa ikisomwa na wanafunzi wakati wa uzinduzi wa kituo
hicho.
Meneja uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akipena mikono na wanafunzi mara baada ya kumaliza kusoma risala.
Mkurugenzi
wa Kituo cha Mafunzo cha Furahini kilichopo Kisangara wilayani
Mwanga,Isack Msuya akizungumza wakati wa usinduzi wa kituo hicho.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi aliyekuwa mgeni
rasmi katika uzinduzi wa kituo cha Furahini Youth Learning Center
akizungumza katika uzinduzi huo.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akifungua mfano
wa hundi kwa ajili ya kukabidhi kwa mkurugenzi wa kituo hicho.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akizungumza
jambo mara baada ya kukabidhi kibao kinachoonesha msaada uliotolewa kwa
kituo hicho cha ujenzi wa madarasa ya kituo.
Meneja
uendeshaji wa Modewji Foundation ,Francesca Tettamanzi akimkabidhi
mkurugenzi wa kituo cha Mafunzo cha Furahini ,Isack Msuya mfano wa hundi
ya kiasi cha sh Mil 7.7.
Mchungaji Kajuna akitoa neno wakati wa uzinduzi wa kituo hicho.
Wawakilishi wa METL wakiwa katika picha ya pamoja na walimu wa kito hicho pamoja na wanafunzi .
Wakiwa katika picha ya pamoja.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment