Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura,
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015
kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura,
alipofika Ofisini kwake Ikulu jini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015
kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe.
Eugene Kayihura na msaidizi wake Issa, baada ya mazungumzo hayo
yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015. Picha na
OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem,
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015
kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem
Al Najem, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam,leo Desemba 22, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe.
Nasem Al Najem na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, baada ya
mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba
22, 2015.
No comments:
Post a Comment