Lorraine
Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili
limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of
Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa
kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu.
Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na
rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa
ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim.
Pia kabeba fimbo la kimasai iliyonakshiwa na rangi za taifa.
Rangi nyekundu ni alama ya damu ya tembo iliyomwagika na kusafishwa na malaika huyu.
No comments:
Post a Comment