Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa
wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa
Ultra modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma
UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi.
[DODOMA] Chama
cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA)
kipo katika mkutano wake mkuu wa 32 wa mwaka unaofanyika mjini hapa
huku ukishirikisha wanachama mbalimbali kutoka ‘Chapter’ za mikoa zaidi
ya 10 nchini.
Mkutano
huo wa mwaka ulioanza Novemba 30 mwaka huu na kufunguliwa rasmi na Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Chiku Gallawa na viongozi wengine mbalimbali wa
mkoa huo umeweza kuwa wa matumaini kwa Serikali kwani imepongeza juhudi
zinazofanywa na TPHA hapa nchini ikiwemo kuhakikisha wananchi wote
wanapata afya na elimu sahihi ya tiba.
Siku
ya pili ya Mkutano huo wa TPHA, Desemba Mosi, Wanachama wameweza
kutembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin
Mkapa Ultra modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha
Dodoma (UDOM) na kujionea mambo mbalimbali hi ni kuhakikisha mambo ya
msingi katika sekta ya afya yanafanikiwa kama ilivyo dira ya Chama
hicho.
Aidha, mada mbalimbali za kitaalamu kuhusiana na masuala ya afya na kisayansi zaidi ya 10 zimeweza kuwasilishwa hiyo jana.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa jengo
hilo la Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin
Mkapa Ultra modern Hospital” (aliyekunja mikono katikati).
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya maeneo ya jengo hilo la
Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra
modern Hospital” iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma
UDOM.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa
wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa
Ultra modern Hospital”.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakiongozwa na mwenyeji wao (mwenye koti jeusi
mbele) katika Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin
Mkapa Ultra modern Hospital”.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya chumba cha maabara cha
Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra
modern Hospital”.
Baadhi
ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health
Public Association-TPHA) wakipata maelezo ya Hospitali ya Utafiti wa
magonjwa na Tiba ya “The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital”.
Wanachama wakipata picha ya ukumbusho wakati wa kutoka katika jengo hilo
Administrator wa TPHA, Eric akipiga picha ya ukumbusho katika jengo hilo..
No comments:
Post a Comment