Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano ya
uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya
kaskazini.
Wanafunzi wa kozi ya awali ya Askari Polisi kutoka shule ya Polisi
Tanania wakiwa katika manda,ano ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga
ukatili wa kijinsia Kanda ya Kaskazini.
Maanda,mano ya lipita maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi.
Maandamano hayo yakipita eneo la kituo kuu cha Mabasi cha mjini
Moshi yakieekea katia viwanja vya kituo hicho ambako uzinduzi wa kampeni
ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini .
Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi
katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kujinsia kanda ya
kaskazini akimsikiliza Mwenyekiti wa Mwavuli wa Vikoba wa KIVINET ,Mama
Mwingira wakati alipotembelea banda la KIVINET .
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisikiliza malezo kutoka
katika banda la shirika la NAFGEM linalopambana na vitendo vya
Ukeketaji.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akisikiiza maelezo kutoka
TAWREF ambao pia wameshiriki katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga
ukatili wa kijinsia.
Afisa habari wa shirika la KWIECO ,Velonica Ollomi akitoa maelezo
mbele ya mgeni rasmi katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa
kijinsia kanda ya kaskazini uliofanyika katika viwanja vya kituo kikuu
cha mabasi mjini Moshi,kulia kwake ni Afisa Kitengo cha elimu ya haki za
binadamu na jinsia ,KWIECO ,Elizabeth Mushi.
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA ,pia
imeshiriki katika uzinduzi huo hapa ikiwasilishwa na afisa habari
wake,Florah Nguma na mfanyakazi wa mamlaka hiyo,Kisingi.
Mwenyekiti wa kamati ya kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa
kijinsia kanda ya kaskazini,Honorata Nasuwa akizungumza katika uzinduzi
wa kampeni hiyo uliofanyika katika viwanja vya kituo kikuu cha mabasi
mjini Moshi.
Kikundi cha kwaya kutoka shule ya msingi Mweleni wakitoa ujumbe
kwa njia ya wimbo wakati wa uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda
ya kaskazini.
Mkurugenzi wa TAWREF,Dafrosa Itemba akitoa mada katika uzinduzi wa
kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini.
Mkurugenzi wa shirika la KWIECO,Elizabeth Minde akitoa mada katika uzinduzi huo.
Mwakilishi wa mkuu wa shule ya Polisi Tanzania na Mkufunzi mkuu wa
shule hiyo Graifton Mushi ,akiwa na aliyekuwa mwenyekiti wa dawati la
Jinsia mkoa wa Kilimanjaro,Grace Lyimo katika uzinduzi wa siku 16 za
kupinga ukatili wa kijinsia.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiteta jambo na mkurugenzi wa shirika la KWIECO,Elizabeth Minde.
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga aliyekuwa mgeni trasmi
katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya
kaskazini akitoa hotuba yake.
Baadhi ya wasiriki katika uzinduzi huo wakifutilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa.
Bendi ya Jeshi la Polisi wakiongoza maandamano ya wanaharakati.
Wanaharakati
kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa na mabango yaokwenye maandamano
yaliyoanzia Uzuri Sinza na kuishia katika ukumbi wa ubungo plaza jijini
Dar es salaam leo.
wanaharakati wakiwa kwenye ukumbi katika kupinga ukatili wa kijinsia ulioadhimishwa leo jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment