Mwanzilishi
wa Mfuko wa Doris Mollel, Doris Mollel akizungumza katika kilele cha
maazimisho ya siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti) katika
mkutano ambao umefanyika leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
(MNH). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck
Sadick.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akizungumza kwenye maadhimisho hayo leo.
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Wateja, Aminiel
Aligaesha akifuatilia mkutano huo leo pamoja na wauguzi waandamizi wa
hospitali hiyo.
Mmoja
wa kinamama akiwa na mtoto wake ambaye alizaliwa kabla ya kutimiza siku
akishiriki maadhimisho hay oleo katika hospitali hiyo.
Mashine
iliyotolewa kwa ajili ya kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya muda.
Mashine hiyo imetolewa leo na mfuko wa Doris Mollel kwa ajili ya kutunza
watoto hao.
Mmoja
wa kinamama, Lipina Lyimo akizungumza katika kilele cha maazimisho ya
siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti). Katika mkutano na
waandishi wa habari Mama Lyimo amesema alijifungua mtoto kabla ya
kutimiza muda na kwamba madaktari na wauguzi walimwelekeza jinsi ya
kumtunza mtoto wake, Emmanuel Mgumba hadi amekuwa mkubwa na kuwa na afya
bora.
No comments:
Post a Comment