Muonekano wa Msikiti wa zamani ulivyokuwa katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kabla ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
Msikiti wa Zamani ulivyokuwa katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani kabla ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
Muonekano wa leo wa msikiti huo katika kijiji cha Mlamleni katika kitongoji cha Kimbangulile wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani baada ya kujengwa upya kwa nguvu za wasamaria wema wa ndani na nje ya nchi
Maandalizi ya ufunguzi rasmi wa msikiti huo
Ndani ya msikiti kwa sasa
Sehemu ya kinamama
Waumini katika swalat
Masahafu na majamvi yaliyopelekwa msikitini hapo na wasamaria wema kupitia kwa Sheikh Monero
Swalat ikiendelea
No comments:
Post a Comment