Mbunge
mteule wa Jimbo la Mtama, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape akisaini
mkataba wa kupata vifaa vya huduma za afya mbele ya Mwambata wa Siasa
wa Ubalozi wa China nchini Tanzania Mis Song Rui katika ofisi za Ubalozi
wa Jamhuri ya Watu wa China.
No comments:
Post a Comment