Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa
ibada maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Siha Sango
Mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo ilikwenda sambamba na harambee ya
kuchangia ujenzi wa kanisa hilo ambapo zaidi ya shs Milioni 100
zilipatikana.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiijili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Cuthbert Temba akiongoza ibada.
Waumini wa Kanisa hilo wakiwa katiba ibada.
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey Nkini na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakiwa kanisani
na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Huduma Shirikishi, Esther Kitoka.
Mkurugenzi Benki ya CRDB tawi la Moshi, Francis Mollel
(kulia) akipokea mbuzi kutoka kwa Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Siha Sango, Cuthbert Temba (wa pili
kushoto) baada ya kununua mbuzi kwa shs 100,000 katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT Usharika
wa Siha Sango lililopo Mkoa wa Kilimanjaro. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi mbuzi Mchungaji Emmanuel Kileo
baada ya wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa
Kanisa hilo. Kushoto ni Solomon Nkini.
Katibu
Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Goodfrey Nkini akipokea mbuzi
baada ya kumnunua katika harambee ya ujenzi wa Kanisa la KKKT Usharika
wa Siha.
<!--[if gte mso 9]>
No comments:
Post a Comment