BREAKING NEWS:RAISI JJP MAGUFULI AFUTA RASMI 9 DECEMBER - LEKULE

Breaking

23 Nov 2015

BREAKING NEWS:RAISI JJP MAGUFULI AFUTA RASMI 9 DECEMBER



Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue amesema rais.John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru December 9 na kuagiza fedha zilizopangwa kwa shughuli hiyo zitengwe kwaajili ya kufanyia shughuli nyingine na pia akaagiza siku hiyo kutumika kwaajili kufanya usafi nchi nzima kwaajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu.

No comments: