Agizo la Rais Magufuli kwa Muhimbili kuhusu mgonjwa aliyekuwa anaishi kwenye handaki Mlimani latekelezwa - LEKULE

Breaking

11 Nov 2015

Agizo la Rais Magufuli kwa Muhimbili kuhusu mgonjwa aliyekuwa anaishi kwenye handaki Mlimani latekelezwa


Mgojwa huyu ni ndugu Chacha Makenge ambaye habari zake zilitangazwa katika vyombo mbalimbali vya habari mwaka 2013 kujichimbia handaki aliloligeuza makazi yake, katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sehemu ya Mlimani.

 

No comments: