ZEC yatangaza Matokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu 2015 Kwa Majimbo Mawili Upande wa Zanzibar Pekee - LEKULE

Breaking

26 Oct 2015

ZEC yatangaza Matokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu 2015 Kwa Majimbo Mawili Upande wa Zanzibar Pekee

LEO  Majira  ya  saa  nane  usiku,Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Salim Jecha, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa urais wa Zanzibar kwa majimbo mawili ya Kiembesamaki na Fuoni, ambapo kwenye majimbo yote mawili mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, anaongoza.   Zanzibar  ilikuwa  na  majimbo 54


Baki nasi. Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa  kikitokea.....Kwa  upande  wa  Tanzania  Bara,Matokeo  ya  awali  yataanza  kutangazwa  saa  4  asubuhi
 
Tazama  video  hii  kumsikiliza  Mwenyekiti  wa  ZEC  akitangaza  matokeo


No comments: