Video: Msikilize Mgombea Urais kupitia Chadema Edward Lowassa Akitoa Mtazamo wake Mara baada ya Kupiga Kura. - LEKULE

Breaking

25 Oct 2015

Video: Msikilize Mgombea Urais kupitia Chadema Edward Lowassa Akitoa Mtazamo wake Mara baada ya Kupiga Kura.


Mgombea urais kupitia Chadema Edward Lowassa atoa mtazamo wake mara baada ya kupiga kura....Tazama  Video Hapo  Chini


Lowassa amesema hatokubaliana na matokeo kama uchaguzi hautokuwa wa haki.


Mh Lowassa pia ameelezea hali itakavyokuwa baada ya matokeo kuwekwa wazi kufuatia zoezi hilo kumalizika.


No comments: