Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha TLP
Macmillan Lyimo ameshindwa kutekeleza haki yake ya msngi na ya kikatiba
ya kupiga kura leo baada ya kukosekana kwa fomu namba 19 inayo mruhusu
kupiga kura kwa kuwa hayupo kituo chake cha kupigia kura cha Dar es
Salaam alichojiandikisha awali ambapo kwa sasa yupo jijini Arusha.
Mbali na kukosekana kwa fomu hiyo, Mgombea huyo pia hakuwa na kitambulisho chake cha kupigia kura
Mbali na kukosekana kwa fomu hiyo, Mgombea huyo pia hakuwa na kitambulisho chake cha kupigia kura
No comments:
Post a Comment