2
Meneja wa Tigo music, Hamza Balla akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kwa wingi kumpokea msanii wa kizazi kipya Nassib Abdul Diamond (kushoto)mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Pembeni kulia Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar.
3
Msanii Diamond Platnumz akiongea na waandishi wa habari na mashabiki waliojitokeza kumpokea  mara baada ya kuwasili kutoka nchini Marekani alikopokea Tuzo za Afrimma. Wengine kushoto kwake Meneja wake Babu Tale, Meneja wa Tigo music Hamza Balla, na Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar.
4
5
Msanii Diamond (kulia) akiwa na mama yake na Meneja wake wa kimataifa.
6
Msanii Nassib Abdul Diamond (katikati), Meneja wa Tigo music Hamza Balla (kushoto) na Mtaalam wa mitandao ya kijamii toka Tigo Samira Baamar wakiwa kwenye picha ya pamoja kuwaonyesha mashabiki tuzo alizonyakua za Afrimma.
10
IMG_1329
Diamond Platnumz akizungumza na mashabiki wake mitaani kwenye gari la wazi wakati akirejea kutoka nchini Marekani.
IMG_1339
Msanii Queen Darlin akipeperusha bendera juu ya Lori kumfagilia kaka yake Diamond.