Raila Odinga Ampongeza Magufuli....Atoa Ushauri Kwa Lowassa - LEKULE

Breaking

30 Oct 2015

Raila Odinga Ampongeza Magufuli....Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Urais Tanzania.
 
Aidha, Mhe Odinga amemshauri mgombea wa upinzani Mhe. Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na kushindwa na Rais Uhuru Kenyatta.
 
Ameeleza pia matumaini yake kwamba Dkt. Magufuli atahakikisha kuendelea kwa uhusiano mzuri uliopo katia ya Tanzania na Kenya, na kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuendeleza ndoto ya kuelekea kwenye Shirikisho la nchi hizo.

No comments: