Mwigulu Nchemba Amshambulia Lowassa Kuhusu Afya Yake.....Adai Mwalimu Nyerere Angekuwepo Angetapika Kwa Hoja Finyu za Chadema - LEKULE

Breaking

19 Oct 2015

Mwigulu Nchemba Amshambulia Lowassa Kuhusu Afya Yake.....Adai Mwalimu Nyerere Angekuwepo Angetapika Kwa Hoja Finyu za Chadema

Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.
 
Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za kupigia kura,na kujitokeza kwenda kupiga kura,na Kumchangua Mgombea Urais kupitia CCM Dr John Magufuli.

Mwigulu  Amemponda  Lowassa  akidai  ni  mtu  mgonjwa  ambaye  hawezi  kushika  hata  Maiki( kipaza  sauti)  huku  akihoji  itakuwaje  siku  akuhudhuria  mikutano  ya  kimataifa?

Msikilize Mwingulu akizungumza.

No comments: