Masogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini - LEKULE

Breaking

19 Oct 2015

Masogange Anaswa Live Na Midume Miwili Hotelini


Muuza nyago maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu baada ya kunaswa laivu hotelini akifanya yake na wanaume wawili tofauti.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na Masogange, tukio hilo lilijiri katika Hoteli ya Lamada iliyopo Mbezi-Beach jijini Dar hivi karibuni baada ya mrembo huyo kutua Bongo akitokea nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kwenye makao yake yasiyo wazi.

Katika picha za tukio hilo, Masogange, akiwa kwenye vazi moja na kwa nyakati tofauti, alikuwa akijiachia kimahaba na wanaume hao, mmoja akitajwa kuwa ni raia wa Uganda.

“Yaani unaambiwa Masogange alikuwa na wanaume hao wawili tofauti bila kujali ataelewekaje… da! Jamani hawa dada zetu nao,” kilisema chanzo hicho.


Baada ya taarifa  hizo, Masogange alipigiwa simu ili atolee ufafanuzi tukio hilo lakini hakupokea simu.

No comments: