Mkutano wa kampeni za CCM Bumbwini leo - LEKULE

Breaking

6 Oct 2015

Mkutano wa kampeni za CCM Bumbwini leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozimwa CCM alipowasili katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,katika  mkutano   wa hadhara wa kampeni za CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume mara   alipowasili katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,palipofanyika mkutano   wa hadhara wa Kampeni za CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Kkaskazini Unguja Haji Juma Haji wakati wa mkutano   wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizoendelea leo katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Wanachama wa CCM wakiingia katika eneo la Mkutano wa Hadhara wa Kampeni zinazoendelea katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini MakobaJimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein[Picha na Ikulu.]
 Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume akiwaasa wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM kukichagua Chama Hicho kwani ndio Chama chenye sera za Ukweli wakati wa mkutano   wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizoendelea leo katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,    [Picha na Ikulu.]
 Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Mkutano wa CCM Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wananchi na WanaCCM katika mkutano   wa hadhara wa Kampeni za CCM uliofanyika leo  katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,    [Picha na Ikulu.]
 Maelfu ya Wanachama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofurika katika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,   katika mkutano wa Hadhara wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali za Uongozi katika Chama cha Mapinduzi,wakiwemo Rais wa Zanzibar,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani leo,[Picha na Ikulu.] 

 Wananchi na WanaCCM pamoja na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia na kupata burudani kutoka vikundi mbali mbali vilivyotumbiza katika mkutano wa Hadhara wa  kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika  uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 Vijana  wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia wakati wa burudani kutoka vikundi mbali mbali vilivyotumbiza katika mkutano wa Hadhara wa  kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika  uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa Kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.] 
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la Bumbwini wilaya ya Kaskazini B Mkoa wa kaskazini Unguja leo,  katika  mkutano   wa hadhara wa kampeni za CCM ulifanyika uwanja wa Skuli ya Bumbwini Makoba ikiwa ni mfulilizo wa mikutano inayoendelea,[Picha na Ikulu.]