Watanzania wametakiwa kuwa wavumilivu na wenye utulivu wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikiendelea na zoezi la uhesabuji wa kura ili kupata matokeo ya uraisi kutokana na idadi halali za kura.
Kwa
mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo
ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4
asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.
No comments:
Post a Comment