Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi
wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla
ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na
Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa
Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa
Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo
Okt 17, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la wa Mradi wa Vituo vya
Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, wakati wa
hafla ya kuweka jiwe la Msingi iliyofanyika katika Kijiji cha Idetero
Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa leo, Okt. 17, 2015.
Baadhi ya Vijana wa Jeshi la KIjenga Taifa wakiendelea na ujenzi wa Mradi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo ya ujenzi huo kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi,
Stanley Ndosite Nzowa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika
Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015.
No comments:
Post a Comment