JK KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA - LEKULE

Breaking

5 Oct 2015

JK KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifunua vitambaa kuashiria kuanza ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta nchini Kenya Octoba 4, 205.Rais Kikwete leo ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Kenya.
Marais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Uhuru Kenyatta wa Kenya wakipeperusha Bendera za nchi zao kuzindua ujenzi wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta nchini Kenya Octoba 4, 2015.(P.T)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa eneo la TAVETA nchini Kenya ambapo alianza ziara yak e ya siku tatu kwa kuzindua ujenzi wa wa Barabara ya Arusha-Holili/Taveta-Mwatate huko Taveta.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete eneo la TAVETA nchini Kenya muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu.

Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni

Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba acapella eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni

Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo

Rais Kikwete akishuka katika ndege

Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete akipokea shada la maua

Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya

Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya

Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya

Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege

Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto

Rais Kikwte akiweka saini kitabu cha wageni

Rais Kikwete akiangalia picha mbalimbali zenye historia ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta

Mratibu wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisom ratiba wakati wa kuanza kwa shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi 

Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe John Haule akiongea wakati wa hafla ya Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya waliyoandaa kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Dua ya Kiisalamu ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Dua ya Kikristo ikisomwa na mwakilishi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisoma risala yao katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Wanajumuiya

Baadhi ya ujumbe wa Rais Kikwete kwenye hafla hiyo

Wanajumuiya wakimsikiliza Rais Kikwete

Rais Kikwete akihutubia Wanajumuiya

Rais Kikwete akihutubia Wanajumuiya

Rais Kikwete akihutubia wana Jumuiya

Wanajumuiya wakipiga makofi

Meza kuu

Wanajumuiya na wageni wakishangilia

Rais Kikwete akipokea zawadi yake toka kwa Jumuiya

Mapaparazi hawakosekani kwenye shughuli kama hizi....

Rais Kikwete akipokea zawadi kwa niaba ya mkewe Mama Salma Kikwete

Neno la shukurani

Rais Kikwete akimshukuru mtoa neno 

Rais Kikwete akiwa na wanachama wa Jumuiya ya Kinamama wa Tanzania waishio Kenya

RAis Kikwete akiwa na viongozi wa jumuiya

Rais Kikwete akiwa na wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya

Rais Kikwete akipata picha na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya

Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Balozi John Haule na mkewe mama Haule wakati alipoamua kupiga picha na kila mwanajumuiya aliyehudhuria kwenye hafla hii.

Rais Kikwete akiwa na Wanajumuiya 

Rais Kikwete akipokea maelezo ya badhi ya changamoto wazipatazo wanafunzi wa Tanzania wasomao Kenya kutoka kwa mwenyekiti wa umoja wao.
  • Picha tumeshirikishwa na IKULU