Ofisa
Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akimuonesha Mwananchi aliyetembelea
banda la MSD nembo ya MSD iliyowekwa katika makasha na vifungashiyo vya
dawa.
Mtaalamu
wa Maabara kutoka Bohari ya Dawa (MSD), Twahiri Magoolo (kushoto),
akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika
kongamano la 29 la wanasayansi wa utafiti wa magonjwa ya binadamu Dar es
Salaam jana. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Utafiti
Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
Dawa na vifaa mbalimbali vikiwa katika banda la MSD katika kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment