Mawakili wa msanii
wa muziki wa Pop Justin Bieber wanataka picha zote za utupu za msanii
huyo kuondolewa katika mitandao mara moja.
Mwandishi wa Hollywood
amedai kwamba ameona barua iliotumwa kwa mtandao wa New York News,ambao
ulichapisha picha za nyota huyo wa muziki akiwa katika likizo huko
Polynesia Ufaransa.Pia cha hizo zilizopigwa Bora Bora bado zipo katika mtandao huo.
Barua hiyo inataka hatua kuchulkuliwa katika saa 12 baada ya kupata agizo hilo.
Barua hiyo imethibitisha kuwa picha hizo ni za Bieber ,licha ya uvumi kwamba huenda zimekarabatiwa ili kufanana na msanii huyo.
No comments:
Post a Comment