Wanafunzi
wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi
Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya
Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia
kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu
iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na
Learning In Sync.
Mwalimu
wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi
Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi
wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma wa shule
hiyo jinsi ya kutafuta taarifa za maarifa ya masomo ya sayansi kwa
njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi
mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa
na Learning In Sync.
Picha
ya juu na chini baadhi ya wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya
sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,
wakiendelea kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta mpakato
zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia
mradi wake wa kompyuta mashuleni unaosimamiwa na Learning In Sync.
Masomo yakiendelea….
Mariam
Mwishaha na Khairat Massoud – wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya
sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam
wakimsikiliza kwa umakini Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule
hiyo,Elibariki John(kushoto) wakati akiwafundisha masomo hayo kupitia
kompyuta mpakato walizopatiwa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu
iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na
Learning In Sync.
No comments:
Post a Comment