Meneja
Mwandamizi wa Benki Upande wa Taasisi NMB, Noelina Kivaria (kushoto)
akimkabidhi Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Donan
Mmbando (kulia) tuzo ya mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa niaba
ya wanafunzi nane na walimu wanne bora wa masomo ya baiolojia na kemia.
Meneja
Mwandamizi wa Benki Upande waTaasisi NMB, Noelina Kivaria akizungumza
wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu bora wa masomo ya
biolojia na kemia kitaifa kidato cha nne na sita katika hafla ya utoaji
tuzo.
Afisa
Mauzo wa NMB, Joseph Mang’ongo akimuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii, Dkt. Donald Mmbando kadi ya akaunti ya chapchap
wakati wa maonesho yaliyokwepo katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi
na walimu bora wa masomo ya baiolojia na kemia kitaifa.
Wanafunzi
na walimu bora wa masomo ya baiolojia na kemia kitaifa katika hafla ya
kuwakabidhi tuzo kwa kuibuka vinara iliyofanyika mwishoni mwa wiki
katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Picha ya
pamoja ya meza kuu, Uongozi wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na
wanafunzi na walimu katika hafla ya utoaji tuzo kwa wanafunzi na walimu
bora wa masomo ya baiolojia na kemia kitaifa kidato cha nne na sita
jijini Dar es Salaam