Uzinduzi wa kanuni ya kudhibiti matumizi ya misumeno ya moto - LEKULE

Breaking

30 Sept 2015

Uzinduzi wa kanuni ya kudhibiti matumizi ya misumeno ya moto


 Baadhi ya misumeno ya moto iliokamatwa katika sehemu mbalimbali ambayo ikitumika katika kukata miti ikiwa imewekwa kusubiri kuangamizwa kwa moto  katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
 Wafanyakazi wa Kilimo na mali ya Asili wakikusanya kuni kwa ajili ya kuichoma moto Misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
 Mkurugenzi wa Idara ya Misitu na mali asili Zisizorejesheka Sheha Idrissa Hamdan akitia mafuta kwa ajili ya kuichoma moto  Misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
 Waziri wa Kilimo na mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya watatu kulia akiangalia misumeno ya moto iliokamatwa sehemu mbalimbali ikichomwa moto katika Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza na kunukuu taarifa inayotolewa na Waziri wa  Kilimo na Mali ya Asili Dk Sira Ubwa Mamboya katika  Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.
Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk,Sira Ubwa Mamboya akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari pamoja na wananchi kuhusiana na  Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.

Waziri wa Kilimo na Mali ya Asili Dk,Sira Ubwa Mamboya akizungumza na vyombo vya habari nje ya Ukumbi wa ASSP baada ya kutoa taarifa ya Uzinduzi wa Kanuni ya kudhibiti na matumizi ya Misumeno ya moto Maruhubi mjini Zanzibar.