Uzinduzi wa kampeni za CCm Chambani, Pemba - LEKULE

Breaking

28 Sept 2015

Uzinduzi wa kampeni za CCm Chambani, Pemba


 VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chambani, Samira Amour Kombo na Maryam Mohamed Salum, wakisoma utenzi wakati wa ufungiz wa kampenzi za Ubunge na Mwakilishi wa Jimbo la Chambani, huko katika kijiji cha Matele Chambani Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WANACHAMA wa CCM Matele Jimbo la Chambani Wilaya ya Mkoani, wakiwasikiliza wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Chambani, ambao hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kampenzi za CCM kwa jimbo hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 KATIBU wa CCM Wilaya Mkoani Abdalla Yussuf Ali, akizungumza na wanaCCM katika Ufunguzi wa Kampeni za CCM Jimbo la Jambani Huko Matele Chambani Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame wa kwanza kushoto, akiwa na wagombea Ubunge  Mohamed Abrahaman Muya na mgombea Uwakilishi Bahati Khamis Kombo jimbo la Chambani, huko katika kijiji cha Matele wakati wa ufunguzi wa kampeni za Jimbo hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akieleza mikakati ya CCM yaliyomo ndani ya Ilani ya 2015/2020, aliyonayomkonini pindi Chama hicho kilivyojipanga kutekeleza baada ya kuongia madarakani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akimkabidhi Ilani ya CCM ya 2015/2020 Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chambani Bahati Khamis Kombo, wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM jimbo la Chambani huko Matele.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akimnadi Mgombea Uwakilishi Jimbo la Chambani Bahati Khamis Kombo, wakati wa ufunguzi wa Kampenzi za CCM Jimbo hilo huko Matele Chambani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Omar Makame, akiwatambulisha wagombea Udiwani wadi ya Pujini Dodo na Ngwachani Salum Makame Juma na Mzee Khamis Saleh, wakati wa Uzinduzi wa KampenI ZA ccm Jimbo la Chambani huko Matele.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)