Mkutano wa Kampeni wa CUF Micheweni - LEKULE

Breaking

28 Sept 2015

Mkutano wa Kampeni wa CUF Micheweni



 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Chama hicho uliofanyika viwanja vya skuli ya Micheweni.





Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif katika viwanja vya skuli ya Micheweni.