Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Naibu Katibu
Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, Nassor Mazrui, wakati
akiwasili katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho,
zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana
Septemba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na Naibu Katibu Mkuu
wa CHADEMA-Zanzibar, Salum Mwalim, wakati akiwasili katika Mkutano wa
Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9,
2015.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwapungia wananchi wa
Zanzibar (hawapo pichani) walioshiriki Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha
Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia,
Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea
Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji, katika hafla ya Ufunguzi wa Kampeni za
Chama cha Wananchi CUF - Zanzibar, zilizofanyika kwenye Uwanja wa
Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9, 2015.(P.T)
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Mgombea Urais
wa Ukawa wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif
Hamad, wakati wa Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CUF, zilizofanyika
kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti, Zanzibar jana Septemba 9,
2015.
Wakubwa wakiteta jambo.
Wimbo maalum wa Chama cha Wananchi CUF ukipigwa.
Maalim Seif akiongoza ufunguzi wa kampeni hizo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo.
Mgombea
Mwenza wa Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Juma Duni Haji, akiwasalimia wazanzibar.
Tumeshirikishwa taarifa hii na Othman Michuzi/Mtaa kwa Mtaa blog, Za
No comments:
Post a Comment