Staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh akiwa na mumewe Mr. X, Oladunni.
Lagos, NigeriaBAADA ya kufunga rasmi ndoa ya kimila nchini Naija, staa wa filamu mwenye vituko, Tonto Dikeh amefunguka kuwa pete aliyovishwa na mchumba wake, Mr. X, Oladunni kwenye harusi yake ina gharama ya shilingi milioni 20.


No comments:
Post a Comment