SUPERSPORT KWENDA LAIVU ALL AFRICAN GAMES‏ - LEKULE

Breaking

4 Sept 2015

SUPERSPORT KWENDA LAIVU ALL AFRICAN GAMES‏

D3A_3549
Meneja Mkuu wa SuperSport kwa ukanda wa Kusini mwa Afrika, Graeme Murray akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika (hawapo pichani) katika hoteli ya OutriggerHotel & Beach Resort nchini Mauritius.
D3A_3571
Mkuu wa masoko wa SuperSuport, Motheo Matsau akifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika visiwa vya Mauritius.
D3A_3677
Mchezaji wa zamani wa kimataifa na Mratibu mkuu wa FIFA na CAF, Anthony Baffoe akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani).
D3A_3659
Mkuu wa uzalishaji wa SuperSport, Alvin Naicker akisisitiza jambo katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani).
D8A_1013


Carol Tshabalala wa Supersport akiendesha mkutano na waandishi wa habari.

No comments: