Wageni…
Burudani zilitolewa na Safi Cultural Group, Dogo Pepe, Yamoto Band na Christiani Bela ‘Mfalume wa masauti’. Onesho lililokuwa limedhaminiwa na Tigo music na Tusker.
Waandaji wa onesho hilo e-masta walipongezwa kwa kujipanga kwani kila kitu kilienda vyema kuanzia ulinzi, muda pamoja mambo mengine ikiwemo vinjwaji, chakula na burudani.


No comments:
Post a Comment