Mlinda sheria anapogeuka kuwa mvunja sheria - LEKULE

Breaking

18 Sept 2015

Mlinda sheria anapogeuka kuwa mvunja sheria


BADO wapo baadhi ya wasimamizi wa sheria ndani ya Jeshi la Polisi, wamekuwa na kigugumizi kutii sheria bila ya shuruti, ambapo askari trafik kisiwani Pemba, akiwa amepanda vespa yenye namba za usajili Z 598 FG bila ya kuvaa kofia ngumu ‘helmet’ kama alivyokutwa na mpiga picha wetu- katikati ya mji wa Chake chake kisiwani Pemba.

No comments: