Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamo wa PIli wa Rais Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akisalimiana na Mkuu wa
Wilaya ya Wete Mhe: Hassan Khatib Hassan, mara baada ya kuwasili katika kijiji
cha Ungi Mkusa Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akisalimia na
viongozi mbali mbali wa Benk ya Posta Tanzania mara baada ya kuwasili katika
kijiji cha Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, akisalimiana
na Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Bwana Sabasaba Moshingi wakati alipowasili
katika kijiji cha Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.
Mwanakijiji wa Ungi
Msuka Mwadini Habibu akisoma risala ya wanakijiji hicho, kabla ya kuwekewa jiwe
la msingi kituo cha Afya kilichopo kijijini kwao huko Ungi Msuka Wilaya ya
Micheweni kisiwani Pemba.
Mwakilishi wa Jumuiya
ya Maendeleo ya Jimbo la Konde Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, Ismail Ali
akitosa salamu za wanajumuiya wenzake wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi kituo
cha Afya kijijini kwao huko Ungi Msuka.
Meneja wa Benki ya
Post Tanzania tawi la Pemba, Issa Abdull akizungumza na wananchi wa kijiji cha
Ungu Msuka Wilaya ya Micheweni
Afisa Mtendaji Mkuu
wa Benk ya Posta Tanzania Bwana Sabasaba Moshingi, akisoma risala ya Benk hiyo
wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la kituo cha Afya Ungu Msuka Wilaya ya
Micheweni Kisiwani Pemba.
Mwenyekiti wa Bodi ya
Benk ya Posta Tanzania Profesa Lettice Rutashobya, azungumza na wanakijiji wa
Ungi Msuka kabla ya kuwekwa kwa Jiwe la msingi Kituo cha afya kijijini hapo
Waziriwa Nchi Ofisi
ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, wapili kutoka
kulia mwenye miwani akiangalia ratiba ya shuhuli ya uwekaji wa jiwe la Msingi
kituo cha afya katika kijiji cha Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba.
Watendaji wa Benki ya
Posta Tanzania wakiwa na viongozi mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya
znaizbar, wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, wakati alipokuwa akizungumza na wananchi
wa kijiji cha Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni kabla ya kuweka jiwe la msingi
katika kituo cha afya kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment