Mke wa mwanamuziki wa Nigeria Peter, Lola Omotayo.
SEPTEMBA 2, mwaka huu ilikuwa ni siku nzuri ya kusherehekea kuzaliwa kwa mke wa staa wa muziki nchini Naija anayeund la P-Square, Peter, Lola Omotayo ambapo staa huyo alimfagilia balaa.
Heri ya kuzaliwa mpenzi,” aliandika.Peter na mkewe wana watoto wawili aliozaa na Lola ambao ni Cameron na Aliona.


No comments:
Post a Comment