|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha Bi. Victoria Richard Mwakasege aliyekuwa Naibu Balozi wa
Tanzania nchini Burundi. Balozi
Victoria R. Mwakasege anaiwakilisha Tanzania nchini Malawi. Hafla hiyo
ilifanyika Ikulu, Dar es Salaam tarehe 16 September, 2015 |
|
Balozi Mwakasege akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mwakasege vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mwakasege na familia ya Balozi Mwakasege |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.Zuhura Bundala kuwa Balozi
na Msaidizi wa Rais (Diplomasia) anajaza nafasi iliyoachwa wazi na
Balozi Samweli Shelukindo. |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Bundara vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Bundala na familia ya Balozi Bundala |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa
Kikanda Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Innocent
E. Shiyo kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara hiyo |
|
Balozi Shiyo akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Shiyo vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Shiyo na familia yake |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Afisa Ubalozi Mkuu, Ubalozi wa Tanzania, Muscat,
Oman, Bw. Abdallah Kilima kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya
Mashariki ya Kati wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
|
Balozi Kilima naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Kilima vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Kilima na familia yake |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi, Ubalozi wa Tanzania, Kampala,
Uganda Bi. Anisa Mbega kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Balozi Mbega naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Mbega vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa nne kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mbega na wanafamilia. |
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
akimwapisha aliyekuwa Mratibu wa Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu
Bw. Baraka H. Luvanda kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Sheria,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
|
Balozi Luvanda naye akisaini kiapo chake mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
|
Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi Balozi Luvanda vitendea kazi |
|
Mhe. Rais Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Luvanda na familia yake |
Balozi Irene Kasyanju (wa kwanza kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa
Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Wizara ya Mambo ya Nje Balozi
Celestine Mushy (katikati) na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Haji Kombo walipokuwa katika hafla
ya uapisho wa Mabalozi na wakurugenzi wapya |
Wakurugenzi wasaidizi Idara ya Utawala na Rasilimali watu wakifuatilia zoezi la uapisho wa Mabalozi na Wakurugenzi likiendelea |
|
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Asha Rose Migiro (katikati) ambaye alikuwepo kwenye sherehe hizo akisalimiwa na Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kulia). Kushoto ni
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi
Liberata Mulamula (Kushoto). |
|
Balozi
Mwakasege (kushoto), Balozi Bundala (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Idara
ya Diaspora Bi. Rosemary Jairo wakiwa katika picha ya pamoja na nyuso za
furaha mara baada ya kumaliza kuapishwa kuwa Mabalozi |
|
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Itifaki Bw. James Bwana (kushoto) akimpongeza
Balozi Zuhura Bundala (kulia) mara baada ya kuapishwa kuwa Balozi. |
|
Bi.
Mindi Kasiga (kushoto) akimpongeza Balozi Mbega (kulia) mara baada ya
kuapishwa kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa |
|
Mhe.
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya pamoja na
Waziri Membe, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Wakurugenzi, Wakuu wa
Vitengo na watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa. |
|
Mabalozi
wapya wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Balozi Liberata
Mulamula (wa nne kushoto mstari wa mbele), Naibu Katibu Mkuu Balozi
Simba Yahya (wa tatu kutoka kushoto), Wakurugenzi, Wakuu wa Vitengo na
watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Juu
na chini ni Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakiwasubiri Mabalozi
wapya kuwasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa.
|
Maafisa Mambo ya Nje wakiwa na maua wakisubiri kuwakabidhi Mabalozi wapya kama ishara ya pongezi na kuwakaribisha Wizarani. |
|
Sehemu
nyingine ya watumishi wa Wizara hiyo wakiwatizama Mabalozi (hawapo
pichani) wakiwasili Wizarani hapo mara baada ya kuapishwa Ikulu |
|
Balozi
Mwakasege akifuatana na Mabalozi wenzake kuteremka kwenye Basi maalumu
lililoandaliwa kwaajili yao wakiwasili Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa mara baada ya kuapishwa kuwa Mabalozi |
|
Balozi Mwakasege (kushoto) akipokea maua kutoka kwa Afisa Mambo ya Nje Felista Rugambwa (kulia) |
|
Balozi
Samweli Shelukindo aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Afrika naye
akipokea maua kutoka kwa Afisa Mambo ya nje Eliet Magogo, mara baada ya
kuwasili Wizarani. |
|
Balozi Luvanda naye akipongezwa na Balozi Irene Kasyanju mara baada ya kuwasili Wizarani hapo. |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.),
katikati akipongezwa na Watumisho wa Wizra ya Mambo ya Nje kwa uongozi
mzuri katika Wizara hiyo. |
|
Waziri Membe akizungumza neno huku watumishi wa Wizara hiyo wakimsikiliza. |
No comments:
Post a Comment