Mama Samia aiteka Dodoma - LEKULE

Breaking

3 Sept 2015

Mama Samia aiteka Dodoma



 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini jana.
 Kijana akiwa na bango wakati akienda mkutano wa  kampeni za CCM Dodoma mjini jana(P.T)
 Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika jana Dodoma mjini
 Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Dodoma mjini jana
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana
 Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana
 Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) ma Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika jana Dodoma mjini jana na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
 Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika jana Dodoma mjini
 Wagombea Udiwani Dodoma mjini wakiwa  kwenye mkutano wa kampeniwa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia uliofanyika jana
 
 Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana Dodoma mjini
 Kinkundi cha Hapa Kazi kutoka Tanga wakitumbuiza wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika jana, jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma
 Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene akiomba kura kwa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo jana
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia (kushoto) akishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na Kundi la Hapa Kazi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika, jimbo la Kibakwe mkoani dodoma jana
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma jana
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo hilo jana. Kushoto ni Mama Mariam Simbachawene.
 Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera jana
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,  akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo jana
 Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika jana katika jimbo hilo
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni katika jimbo la Mtera jana. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO 

No comments: