Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa
Afrika( AU) wakati alipokuwa akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru
Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya
Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu
wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli hiyo uliokuwa
ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya
uchaguzi. Wa tatu (kulia) ni Jaji Mkuu Mstaafu Agustino Ramadhan.
Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi
wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya
Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha
jana Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi,
utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi. Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akihutubia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(kulia) akiteta jambo na Rais wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu,
Agustino Ramadhan, wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati
ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa Afrika( AU) na
Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya
Mount Meru jijini Arusha jana Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili
kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(kulia) akikabidhiwa zawadi na Rais wa Mahakama Afrika Jaji Mkuu
Mstaafu, Agustino Ramadhan, wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa
Mashauriano kati ya Wawakilishi wa Kamati ya Kudumu ya Umoja wa
Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika
kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana Sept 2, 2015 ambao
ulikuwa ukijadili kuhusu kuimarisha demokrasi, utawala wa sheria na
masuala ya uchaguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na Rais wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Agustino
Ramadhan, wakisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya
kufunguliwa rasmi jana jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Rais wa Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan, wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka
mataifa mbalimbali ya Afrika baada ya ufunguzi jana jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment