KIFAA CHA KUPIGIA PICHA CHAZINDULIWA ZANZIBAR. - LEKULE

Breaking

23 Sept 2015

KIFAA CHA KUPIGIA PICHA CHAZINDULIWA ZANZIBAR.


01
Mkurugenzi wa Mipango miji na Vijiji Dk,Mohd Juma mwenye suti akionesha ramani zilizopigwa zamani kwa kutumia ndege katika Uzinduzi wa Kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone) kwa ajili ya kupata ramani mpya na kufikia malengo ya kutoa huduma kwa Dijital zanzibar.
03
Afisa Mipango miji wa Manispaa ya Kinondoni Daresalaam Deogratias akiwa na kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa marefu katika uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar.
04
Fundi Mitambo Fread Mbuya akimuonesha Mratibu wa Costech(tume ya sayansi)Mohd Sheikh namna ya kuyrusha kifaa cha kupigia picha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa mafupi kwa ajili ya kupigia picha za ramani ya mji katika Uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar.
05
Kifaa cha Video Camera Eroplain(Drone)cha masafa mafupi kikiwa angani baada ya kurushwa kwa ajili ya kupigia picha za ramani ya mji katika Uzinduzi wa kifaa hicho mnazi mmoja zanzibar.
06
Mkurugenzi wa Mipango miji na Vijiji Dk Mohd Juma akizungumza na waandishi wa Habari baada ya Uzinduzi wa Kifaa cha Video Camera Eroplain(Drone)kwa ajili ya kupigia picha za ramani ya mji huko mnazi mmoja zanzibar.