Hivi ndivyo wanavyo furahia siku ya kumaliza masomo - LEKULE

Breaking

15 Sept 2015

Hivi ndivyo wanavyo furahia siku ya kumaliza masomo

Picha zinaonesha jinsi gani wanafunzi wachuo kikuu cha Ambrose Ali University kilichopo nchini Nigeria wana utamaduni wa kusherekea mahafali katika mtindo wa tofauti ambapo kwa miaka kadhaa sasa wamekuwa wakifanya hivyo, kwakujipaka vumbi la mkaa lilochanganywa na mafuta machafu.



No comments: