Ofisa
Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari Dar es Salaam leo wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano
wa Redio EFM, Denis Ssebo kuzungumza na wanahabari.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano
lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha Uhondo kwa
ajili ya wanawake wote wasikilizaji wa redio hiyo ambalo limeanza rasmi
jana. Kulia ni Mtangazaji wa kipindi hicho, Dina Marios na Ofisa Habari,
Lydia Moyo.
Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo, Dina Marios (kulia), akizungumzia shindano hilo.
Wapiga picha kazini katika mkutano huo 'Kazi yote hiyo wanatafuta shibe chezea njaa wewe'
No comments:
Post a Comment