Mkurugenzi
Mtendaji
wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa uzinduzi wa
Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam na kukabidhi
vifaa tiba kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu katika
Manispaa ya Kinondoni. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika Dar es Salaam.
Baadhi ya Mameneja na Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipundupindu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Aziz Msuya na kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay. (Picha na Francis Dande).
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipundupindu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Aziz Msuya na wa pili kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akikabidhi msaada wa vifaa tiba kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipundupindu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Aziz Msuya.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB
Vifaa tiba vilivyokabidhiwa leo.
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB imekabidhi dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya sh. milioni 15 kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.

Msaada huo ulitolewa na
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya
Kinondoni, Injinia Mussa Natty aliyeishukuru benki hiyo na kukiri kwamba
kipindupindu kipo katika manispaa yake.
Akizungumza baada ya kupokea
dawa na vifaa tiba hivyo, injini Natty alisema mpaka sasa ugonjwa huo umepoteza
maisha ya watu 17 katika manispaa hiyo huku wengine 1194 wameugua kipindupindu.
“Kata zote 34 za manispaa ya Kinondoni zimeathirika na kipindupindu kilichoanzia Mwananyamala Agost 15 mwaka huu kata nyingine zenye ugonjwa huo ni Mburahati, Kigogo, Sinza, Mabibo, Magomeni, Kimara na Manzese.

"Mpaka sasa kambini kuna
wagonjwa 25 nawashauri watanzania waache kusalimiana kwa kushikana mikono
sababu ugonjwa huu unaendezwa kwa uchafu,” alisema injinia Natty.
Dk. Kimei alisema wiki ya
huduma kwa wateja huadhimishwa kila mwaka na benki hiyo viongozi wa CRDB kutoa
huduma kwenye matawi mbalimbali huku akieleza kwamba kaulimbiu ya mwaka huu ni
Asanteni Sana.
“Wateja wetu ndio jambo la
kila jema linalotokea kwetu… tunaitumia wiki hii kufungua milango na kusogea
karibu zaidi na wateja ili kusikiliza maoni, mahitaji na ushauri wao, lengo ni
kuwahudumia kwa ubora zaidi,” alisema Dk. Kimei.