BASATA Waufungia Rasmi wimbo wa Msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' - LEKULE

Breaking

25 Sept 2015

BASATA Waufungia Rasmi wimbo wa Msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva '


Baraza la Sanaa  Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.
 

Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.